Mark 1:12-13

12 aWakati huo huo, Roho akamwongoza Isa kwenda nyikani, 13 bnaye akawa huko nyikani kwa muda wa siku arobaini, akijaribiwa na Shetani. Alikaa na wanyama wa mwituni, nao malaika wakamhudumia.

Isa Aanza Kuhubiri

Copyright information for SwhKC